Marekani yafuatilia kwa ukaribu kesi ya Besigye

Marekani kupitia Ofisi yake ya Masuala ya Afrika imesema kuwa inafuatilia kwa ukaribu kesi ya kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye na Obeid Lutale ambao wamefikishwa kwenye Mahakama ya Kijeshi nchini Uganda, huku ikisisitiza uwazi na ulinzi wa kisheria kwa wawili hao.

Marekani imesema hayo kutokana na namna kiongozi huyo wa upinzani na mwenzake walivyokamatwa nchini Kenya siku chache zilizopita, jambo ambalo limetafsiriwa na walio wengi ikiwemo watetezi wa haki za binadamu kuwa ni ukiukwaji wa haki za binadamu na utekaji.

Besigye amefunguliwa mashtaka kwa kosa la kumiliki silaha kinyume na sheria.

Kizza Besigye alitoweka Novemba 16, 2024 alipokuwa jijini Nairobi, Kenya kwenye uzinduzi wa kitabu cha Martha Karua baadae kugundulika kuwa amewekwa kizuizuni katika jela ya kijeshi nchini Uganda.

Hot this week

CHADEMA kutoa msimamo wake kuhusu maridhiano

By Veronica Mlyatu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa...

Mnyonge, mnyongeni ila haki yake mpeni

By Dorlingson Edward Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS), leo...

Popular Articles

Safari ya Mashimba katika kutetea jamii ya Wahadzabe

Nchini Tanzania  kuna jumla ya makabila zaidi ya 120...

Polisi waendelea kuwashikilia viongozi wa CHADEMA

Ni siku ya kwanza tangu kukamatwa kwa viongozi wa...

Siku ya Vijana Duniani.

Kwa sasa ni kijana wa miaka 25 ambaye amejiajiri...

BWAWA LA ARBA’AT  LASABABISHA MAAFA NCHINI SUDAN

Watu 30 mashariki mwa Sudan na na wengine 60...

Sand Mining in Tanzania: Trails of Destruction in Lake Victoria and its Environs

By Dominic Allen On November 14th, 2021 in the Geita...

 Utekaji: Fumbo linalotushinda?

Na Yohani Gwangway Taifa la Tanzania kwa miaka mingi limekuwa...

Abduction: Is it a riddle we can’t solve?

By Yohani Gwangway For many years Tanzania has been an...

Mustakabali wa Hewa Safi kwa kila kiumbe

Na Dominic Allen Msingi wa maisha ya viumbe hai yaani...
LAND DWELLERS FACT CHECK HUB VERIFY FACTS STOP MISINFORMATION Trusted Fact-Checking in Tanzania Beyond What You Know VERIFY NOW

Related Articles

Popular Categories

DWELLERS CHECK-HUB Verify Facts. Stop Misinformation Trusted Fact-Checking in Tanzania • Beyond What You Know VERIFY NOW