Leo ni Siku ya Demokrasia duniani. Siku hii ilianza kuadhimishwa tangu mwaka 2007 baada ya kupitishwa na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Kauli mbiu mwaka huu ni “Akili bandia kama chombo utawala bora”.
Land Dwellers inawatakia maadhimisho mema ya Siku ya Demokrasia.


