Jamii Za Asili

Mabadiliko ya tabianchi yanavyoathiri jamii za asili.

By Dorlingson Edward Edwin Je, umewahi kujiuliza nini hutokea pale jamii inayotegemea mifugo inapokosa malisho, jamii inayotegemea misitu inapokosa mimea ya asili, au jamii inayotegemea...

Jamii ya Wahadzabe washauriwa kujenga nyumba imara za asili kukabiliana na El Niño

Ismaili Nyerere, Balozi wa Dwellers Check Hub kutoka jamii ya Wahadzabe, ametoa elimu kwa jamii hiyo kuhusu namna ya kujiandaa na kukabiliana na mvua...
DWELLERS CHECK-HUB Verify Facts. Stop Misinformation Trusted Fact-Checking in Tanzania • Beyond What You Know VERIFY NOW

Wananchi Ngorongoro walalamikia NCAA kukamata mifugo na wafugaji Ndutu

Baadhi ya wakazi kutoka kata ya Endulen, tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha, wameituhumu Mamlaka ya Eneo la Hifadhi ya...

Wakazi wa Ngorongoro waliokamatwa Arusha, waachiwa huru bila kubainishwa makosa yao

Wakazi wanne wa Ngorongoro, wakiwemo wafanyakazi watatu wa Shirika la Pastoral Women’s Council (PWC), wameachiwa jana usiku baada ya...

Safari ya Mashimba katika kutetea jamii ya Wahadzabe

Nchini Tanzania  kuna jumla ya makabila zaidi ya 120 hadi 125, lakini kabila linalofahamika kwa jina la  Hadza au...