Utamaduni

Taarifa za upotoshaji: Tishio kwa maisha, utamaduni na haki za jamii za asili

Na Dominic Allen Mtu anaweza kuishi maisha yake yote ndani ya jamii, akijua mila, desturi na mfumo wa maisha wa watu wake, lakini siku moja...

“Ripoti za Tume za Rais hazijaakisi uhalisia wa maisha yetu” Wananchi Ngorongoro

Na Dominic Allen Wananchi wa jamii ya wamaasai kutoka wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha wametoa tamko kupinga ripoti za Tume mbili za Rais zilizoundwa kutathmini...
DWELLERS CHECK-HUB Verify Facts. Stop Misinformation Trusted Fact-Checking in Tanzania • Beyond What You Know VERIFY NOW

MISA wapinga mapendekezo ya Tume za Rais

Na Dominic Allen Muungano wa kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), umetoa tamko kupinga vikali mapendekezo ya...

Kuchelewa kwa Ripoti za Tume za Rais, zawapa shaka wananchi Ngorongoro

Na Dominic Allen Wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, wametoa taarifa kwa umma wakieleza wasiwasi wao mkubwa kuhusu kucheleweshwa...

Utafiti mpya: Miradi ya Kaboni tishio kwa jamii za asili Tanzania

Na Dominic Allen Muungano na Mshikamano wa Kimataifa wa Wamasai (MISA) hapo jana Machi 11, 2025 ulizindua ripoti maalum ambayo...

Siku ya Utalii Duniani

Leo ni Siku ya Utalii Duniani ambayo huadhimishwa tarehe 27 Septemba kila mwaka. Kwa kutambua mchango wa utalii katika...