Environment.

Wadau 78 waweka mikakati ya kufikia uzalishaji Gesi Joto.

Mfumo wa awali wa utambuzi wa ahadi na hatua za kufikia uzalishaji halisi sifuri wa gesi joto, unaoitwa Net-Zero Recognition Framework (NZRF), umeanza kwa...

UN yazindua mfumo wa kutambua mchango wa taasisi zisizo za kiserikali katika kupunguza uzalishaji wa gesi joto.

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Mabadiliko ya Tabianchi (UN Climate Change) limezindua mfumo mpya wa kutambua na kufuatilia mchango wa kampuni, taasisi za...
DWELLERS CHECK-HUB Verify Facts. Stop Misinformation Trusted Fact-Checking in Tanzania • Beyond What You Know VERIFY NOW

Waziri Homera: Asilimia 80 ya Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia 2034

Waziri wa Nishati, Dkt. Juma Zuberi Homera, amesema Tanzania inaendelea kutafuta ushirikiano na wadau wa kimataifa kupitia Mkutano wa...

Erdoğan: Hakuna anga lingine wala Dunia nyingine

Rais wa Jamhuri ya Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, ametoa wito kwa mataifa yote duniani kuunganisha nguvu katika kukabiliana na...

Stiell ahimiza viongozi kuharakisha utekelezaji wa mipango ya tabianchi.

By Veronica Mlyatu Katibu Mtendaji wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Mabadiliko ya Tabianchi (UN Climate Change), Simon Stiell, amewataka viongozi...

Rais Samia kuwasili Uturuki kushiriki mkutano wa COP31

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuondoka leo, Novemba 10, 2026, nchini Tanzania...

COP31: Chakula, afya na nishati safi vyajadiliwa Uturuki.

Mkutano wa kimataifa wa tabia nchi unaendelea huko nchini Uturuki, ukipenda uite COP 31 kwa kimombo, mkutano huu ulioanza...

Crime Chain: Healing at the Root

By Yohani Gwangway The rapid increase of using plastic bags in Mwanza City has become a pressing issue that requires...