Siasa

CHADEMA kutoa msimamo wake kuhusu maridhiano

By Veronica Mlyatu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa msimamo wake rasmi kuhusu mchakato wa maridhiano na upatanishi uliotangazwa hivi karibuni, kikieleza kuwa hakitashiriki...

Mwabukusi awataka viongozi wa dini kuwafukuza wakandamizaji kanisani

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi, amesema miongoni mwa mambo anayoyakumbuka kuhusu marehemu Wakili Alute Mughwai Lissu, kaka...
DWELLERS CHECK-HUB Verify Facts. Stop Misinformation Trusted Fact-Checking in Tanzania • Beyond What You Know VERIFY NOW

Lissu akutwa na hatia ya uchochezi

Tundu Lissu, mwanasiasa maarufu wa upinzani na kiongozi wa CHADEMA, amepatikana na hatia ya kosa la uchochezi katika uamuzi...

Mahakama: Lissu hakulenga kuitishia Serikali Mahakama Kuu Masjala-Ndogo ya Dar es Salaam imesema upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha kiini cha...

CHADEMA yarejea ulingoni: Karata turufu mkononi

Na Dominic Allen Aprili 15, 2026, Mahakama ya Rufaa Dodoma iliondoa zuio la kufanya shughuli za kisiasa dhidi ya Chama...

Mwaka mmoja tangu kukamatwa kwa Lissu, CHADEMA kuanzisha kampeni aachiliwe

Na Dominic Allen Leo Aprili 09, 2026 umetimia mwaka mmoja tangu kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

Macron: Vita vya Marekani, Israel, Iran ni tishio kwa usalama duniani

Na Dominic Allen Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema kuzuka kwa vita kati ya Marekani, Israel na Iran kuna madhara...

Mageuzi katika Sekta ya Mahakama nchini Tanzania

Na Dr. Bravious Kahyoza Sekta ya Mahakama nchini Tanzania imepitia mapinduzi makubwa ya kiutendaji na kimuundo chini ya uongozi wa...