Mazingira

COP 31: Viongozi kujadili mpango wa kuongeza matumizi ya umeme Duniani

Viongozi wa mataifa mbalimbali duniani wanatarajiwa kutoa hotuba zao leo Jumatano, Novemba 11, 2026 katika Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko...

Misitu yetu, mustakabali wetu: Vita dhidi ya upotevu wa misitu Tanzania

Na Dominic Allen Leo, Juni 05, 2026 Watanzania wameungana na ulimwengu mzima kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani chini ya kauli mbiu isemayo, “Imechochewa na...
DWELLERS CHECK-HUB Verify Facts. Stop Misinformation Trusted Fact-Checking in Tanzania • Beyond What You Know VERIFY NOW

Changamoto ya malisho ‘Vijana wa Loliondo, Sale wamuomba Dkt. Bashiru kuingilia kati’

Na Dominic Allen Tatizo la ukosefu wa maeneo ya kutosha kwa ajili ya malisho kwa wakazi wa Tarafa ya Sale...

Mapambano dhidi ya uharibifu wa misitu Tanzania: Je, tunashinda au tunashindwa?

Na Dominic Allen Mazingira ni moyo wa dunia, yakidhoofika maisha ya kila kiumbe huingia hatarini. Ni katika mazingira ndipo tunapopata...

Watu watatu waenda jela kwa kumiliki mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku

Na Dominic Allen Watu watatu wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini baada ya Mahakama ya Wilaya ya...

NEMC: Zaidi ya tani 150 ya vifungashio vya plastiki visivyokidhi viwango vimekamatwa

Na Dominic Allen Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt. Immaculate Sware Semesi...

Siku ya Maji Duniani: Zaidi ya watu bilioni 2.2 wanakumbana na Uhaba wa maji

Na Yohani Gwangway Dunia huadhimisha Siku ya Maji tarehe 22 Machi ya kila mwaka ikiwa ni kumbukumbu ya kuhimiza upatikanaji...

NEMC yatoa wito kwa Mama Lishe kuacha kutumia mifuko ya plastiki kuhifadhia vyakula

Na Dominic Allen Meneja wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Mashariki Kaskazini, Glory...