Leo ulimwengu unaadhimisha Siku ya Wazee Duniani. Siku ambayo huadhimishwa ifikapo tarehe 10 Oktoba ya kila mwaka. Baraza la Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), lilipitisha siku hii mnamo Desemba 14, 1990 ikiwa na lengo la kutambua mchango wa wazee na kuangazia masuala yanayoathiri maisha yao.
Land Dwellers inawatakia maadhimisho mema ya siku hii muhimu.


