Haki Za Binadamu

AZAKI: Wahanga wa Oktoba 29 walipwe fidia stahiki

Na Dominic Allen Umoja wa Asasi za Kiraia Tanzania (AZAKI) umetoa wito kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwalipa fidia stahiki wahanga wote...

Mwaka mmoja tangu kukamatwa kwa Lissu, CHADEMA kuanzisha kampeni aachiliwe

Na Dominic Allen Leo Aprili 09, 2026 umetimia mwaka mmoja tangu kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu alipokuwa...
DWELLERS CHECK-HUB Verify Facts. Stop Misinformation Trusted Fact-Checking in Tanzania • Beyond What You Know VERIFY NOW

“Ripoti za Tume za Rais hazijaakisi uhalisia wa maisha yetu” Wananchi Ngorongoro

Na Dominic Allen Wananchi wa jamii ya wamaasai kutoka wilaya ya Ngorongoro, mkoani Arusha wametoa tamko kupinga ripoti za Tume...

MISA wapinga mapendekezo ya Tume za Rais

Na Dominic Allen Muungano wa kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), umetoa tamko kupinga vikali mapendekezo ya...

Kuchelewa kwa Ripoti za Tume za Rais, zawapa shaka wananchi Ngorongoro

Na Dominic Allen Wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, wametoa taarifa kwa umma wakieleza wasiwasi wao mkubwa kuhusu kucheleweshwa...

Changamoto ya malisho ‘Vijana wa Loliondo, Sale wamuomba Dkt. Bashiru kuingilia kati’

Na Dominic Allen Tatizo la ukosefu wa maeneo ya kutosha kwa ajili ya malisho kwa wakazi wa Tarafa ya Sale...

Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Jamhuri

Na Dominic Allen Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, leo Oktoba 13, 2025 imetoa uamuzi mdogo...

Usawa wa kijinsia katika Sekta ya Haki waimarika

Na Dr. Bravious Kahyoza Tangu achukue madaraka mwaka 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu...