Featured

Basi, lori vyateketea moto watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, ACP Andrew Kantimbo, amethibitisha kutokea kwa ajali ya barabarani iliyohusisha lori lililokuwa limebeba miti aina ya mirunda na...

Mabondo ya samaki: Kurejesha utajiri wa Ziwa Victoria kwa wavuvi wazawa

Ziwa Victoria ni chanzo muhimu cha maisha kwa maelfu ya watu wanaotegemea shughuli za uvuvi, lakini ndani ya samaki sangara anayevuliwa katika ziwa hili,...
DWELLERS CHECK-HUB Verify Facts. Stop Misinformation Trusted Fact-Checking in Tanzania • Beyond What You Know VERIFY NOW

Jasho lisipotee ghalani: Namna ya kuokoa mazao ya wakulima Geita

"Wakulima kutambua kwamba kilimo sasa hivi ni biashara,” huu ni wito wa Afisa Kilimo wa Mkoa wa Geita, Mayunga...

Nini chanzo? Kutonufaika kwa wavuvi wazawa, biashara ya mabondo

Jiji la Mwanza, linalosifika kama kitovu cha uchumi wa Kanda ya Ziwa, limegeuka kuwa uwanja wa kilio na maswali...

Safari ya Mashimba katika kutetea jamii ya Wahadzabe

Nchini Tanzania  kuna jumla ya makabila zaidi ya 120 hadi 125, lakini kabila linalofahamika kwa jina la  Hadza au...

Taarifa za upotoshaji: Tishio kwa maisha, utamaduni na haki za jamii za asili

Na Dominic Allen Mtu anaweza kuishi maisha yake yote ndani ya jamii, akijua mila, desturi na mfumo wa maisha wa...