Leo ni Siku ya Utalii Duniani ambayo huadhimishwa tarehe 27 Septemba kila mwaka. Kwa kutambua mchango wa utalii katika nyanja mbalimbali, Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UNWTO), lilianzisha siku hii na iliadhimishwa kwa mara ya kwanza mwaka 1980.
Land Dwellers inawatakia maadhimisho mema ya siku hii muhimu.


