Habari Za Uchunguzi

Mabondo ya samaki: Kurejesha utajiri wa Ziwa Victoria kwa wavuvi wazawa

Ziwa Victoria ni chanzo muhimu cha maisha kwa maelfu ya watu wanaotegemea shughuli za uvuvi, lakini ndani ya samaki sangara anayevuliwa katika ziwa hili,...

Nini chanzo? Kutonufaika kwa wavuvi wazawa, biashara ya mabondo

Jiji la Mwanza, linalosifika kama kitovu cha uchumi wa Kanda ya Ziwa, limegeuka kuwa uwanja wa kilio na maswali yasiyo na majibu kwa wavuvi...
DWELLERS CHECK-HUB Verify Facts. Stop Misinformation Trusted Fact-Checking in Tanzania • Beyond What You Know VERIFY NOW

Kutoka Ziwa Victoria hadi Hong Kong: Wavuvi wazawa wanavyokosa fursa ya mabondo

Na Yohani Gwangway Katika mialo ya Sweya, Buhongwa na Kirumba mkoani Mwanza, kuna biashara inayofanyika chini kwa chini, huku wavuvi...

Miundombinu na mustakabali wa elimu jumuishi mkoani Mwanza

Na Dominic Allen “Hawa ni sehemu ya watoto wa jamii, na ulemavu siyo kikwazo, ulemavu ni sehemu ya aina ya...

Pengo la uwajibikaji na changamoto ya miundombinu kwa watoto wenye ulemavu katika shule za Mwanza

Na Dominic Allen Katika shule za msingi na sekondari mkoani Mwanza, watoto wenye ulemavu bado wanakabiliwa na mazingira ya kujifunzia...

Miundombinu duni: Kikwazo cha elimu kwa watoto wenye ulemavu mkoani Mwanza

Na Dominic Allen “Changamoto ya ngazi na vyoo, halafu kuna mawe, kwa hiyo ukienda vibaya unaweza kujikwaa…mtu asipofikisha wastani wa...

“Niliwahi kufikiria kunywa sumu”: Dimbwi la madeni kwa wafanyabishara

Na Yohani Gwangway Ashura ni mjasiriamali na mama wa watoto watatu ambaye anaishi katika Wilaya ya Nyamagana  jijini Mwanza. Takriban...

“Alisema ndoa haiwezi kuendelea”: Mikopo chechefu kichomi kwa wafanyabiashara Mwanza

Na Yohani Gwangway Ashura ni mjasiriamali na mama wa watoto watatu ambaye anaishi katika Wilaya ya Nyamagani jijini Mwanza. Takriban...